Tunauza vidume tu hatuuzi majike wakiwa tayari bei zake ni kuanzia laki moja na nusu na kuendelea ikitegemena na umri unavyo zidi kuwa mkubwa, napia nasisitiza sana ukiweza kufika hapo tunapo fugia ni bora zaidi kuliko kuona kwenye picha, karibu sana.
Kusema ukweli hii mifugo inahitajika juhudi sana ili uweze kuona faida yake kuliko kumwachia mfanyakazi maana wao hawana uchungu wa fedha iliyo wekwa kwenye mradi huo.
Karibu sana nakushauri anziq sasa tembelea wafugaji itakusaidia kuanza kujua nini ufwate ktk ufugaji,wapi uanzie na vipi ujiandae ili ufikie malengo yako. Kujifunza kwangu ni bure kabisa gharama yako ni kufika kibamba .