Nahitaji vindama vya mbuzi

Kwa watu wenye more than 14 acres hii ya mbuzi ni bonge la idea kama unatarget return ya 1M+ TZS profit kwa mwezi. Kama una taarifa za kutosha kuhusu huu mradi. Business plan yangu nimeificha sandukuni nikipata kibunda najitosa.
 
Kwa watu wenye more than 14 acres hii ya mbuzi ni bonge la idea kama unatarget return ya 1M+ TZS profit kwa mwezi. Kama una taarifa za kutosha + kuhusu huu mradi. Business plan yangu nimeificha sandukuni nikipata kibunda najitosa.
Kwanini more than 14 acres and not less than that ?

I think at the beginning you have to start with little you have, then you can grow slowly
 
Kwanini more than 14 acres and not less than that ?

I think at the beginning you have to start with little you have, then you can grow slowly
Ni 14+ acres kwa sababu hiyo ndo ardhi inayoweza kuaccomodate the desired number of animals for one to maintain the constant ROI iliyotajwa hapo juu. Kama kuanza unaweza anzia hata kwenye 2 acres wakati unatafuta parent stock itakayotosha kuanzishia project inayohitaji 14+ acres .
 
Kwa uzoefu wangu sio vyema kabisa kuanza na Mbuzi wadogo hasa walio maliza kunyonya kuanzia miezi 5 hasa ukiwa hauja wahi kabisa ufugaji wa Mbuzi. Maana Ufugwaji wa Mbuzi kuna mahala una changamoto hasa ktk kuwanyonyesha hao Mbuzi toka siku ya kwanza kuzaliwa hadi kufikia umri wa miezi 3 waanze kula majani pole pole na kuto kwenda mbali machungani ili kuwazuia kudumaa, sasa unapo nunua hao wadogo unakuwa huna uhakika na makuzi yake na inakupa muda mrefu sana wa kusibiria afikie uwezo wa kuanza kupanwa au kupanda.
Pia kujua ni Mbegu gani iliyo tumika kuzaisha huyo Mbuzi mdogo unaye hitaji kama ni hawa wa kwetu wa kawaida au ni hizi Mbegu za kisasa amabazo ziatakupa matokeao unayo yataka. Na pia itategemeana unahutaji kuwakuza ili uwachinje uuze Nyama au uwauze wakisha ongezeka ukubwa au uwazalishe kukuza Shamba lako.
 
Wapi naweza kupata Vindama vya mbuzi kama 20 na kwa bei gani?

Nataka niweke shambani kwangu

Mimi nipo dar.
-Mbuzi wadogo ila tayari wanakula majani bei kati ya 40k mpaka 60k
-Huwezi wapata kwa mfugaji mmoja wote
-Gharama za ziada kama usafiri wa kukusanya mbuzi kwa huku nilipo ujiandae na 20k
-Kibali cha kusafirisha mbuzi mmoja ni 3500(muhimu kuwa nacho, barabarani mambo ni mengi)
-Barua ya mwenyekiti 5000
Location Morogoro
 
Safi sana
 
Na kibali cha Tanroad, kibali cha miguu.
 
Reactions: Lax
Morogoro maeneo gan unapatika boss
 
Huyu ni isiolo ana miezi 8 sasa kabakisha miezi 2aanze kupandwa. Wewe unaowahitaji ni wa chini ya hapo au wa saizi hiyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…