Nahitaji vile vigari vidogo vya mizigo,Suzuki

Nahitaji vile vigari vidogo vya mizigo,Suzuki

Neybro

Senior Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
126
Reaction score
42
Jaman hivi bei ya hivi vigari ni bei gan wakuu?Nahitaji kununua
 
Jaman hivi bei ya hivi vigari ni bei gan wakuu?Nahitaji kununua

kuna jamaa yangu kaniachia nnayo mimi yeye anaiuza 6.5mln kama uko serious niambie nky pm # yangu tuwasiluane uje uione....
 
Sema bei mkuu, inawezekana wengi wanahitaji
 
Back
Top Bottom