Nahitaji vifungashio

Nahitaji vifungashio

bintimzalendo

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
74
Reaction score
30
habari zenu wanajamii forum<br>narudi tena kwa mara nyingine, nahitaji vifungashio (package) ya vikopo vya 250ml, 350ml na 500ml.<br>kwa anaeweza kunisaidia sehem ya kupata au anauza ivyo vifungashio kwa uhakika na naweza kuvipata muda wowote ntakaokuwa nahitaji na kwa idadi yoyote tuwasiliane tafadhali<br>0652436216
 
mkuu be specific usaidiwe.vya chakula au maji/soda/beer?
 
Back
Top Bottom