Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani (eg za mm 8, 12 na 16). Je kweli kokoto nyeupe za mawe hazifai mpaka zile nyeusi tu za Lugoba na Msolwa? Je naweza kupata wapi tofali imara za concreate au vibrated? Bei zake zikoje?
Natanguliza shukrani zangu wakuu.

Bei ya nondo i Tsh 1400,000 per ton haijalishi ni size gani,tofauti itakuwa ni idadi,kokoto za msolwa ni nzuri na ndizo recomended ila inategemea unataka kujenga gorofa la ukubwa gani kama ni la kuishi unaweza tumia hata nyeupe kama ni la bishara na unategemea ni zaidi ya gorofa mbili ni bora utumie za msolwa.Ukihitaji hizo kokoto ni PM nondo nenda pale KAMAKA Tabata opp. Sita steel.Tofali bei zake ni 800-1300 vibrated
Mazingira kuhusu nondo jaribu pia pale Buruguni karibia na mataa, bei zake ukaulizie pale pale kutokana na milimita. Usisahau kujumlisha na gharama ya usafiri kutoka sehemu utakaponunua nondo kwenda site na hiyo ni per trip.
Asante dada Belinda. Hizo nondo ulishawahi kuzitumia na ukajua ubora wake? Maana naambiwa kuna nondo zingine zinazotengenezwa TZ zinavunjika kama kuni. Hivi kuna watu wanao-import nondo kutoka nje zenye ubora zaidi?
tofauti ya kokoto nyeusi na nyeupe ktk uimara ni nini?kwa jengo la ghorofa moja la makazi kuna ulazima ganiwa kutumia kokoto nyeusi
asante sana,umenifumbua macho,nina kiwanja ila ni kidogo 650 sq,meters hivyo nina plan kuweka floor moja juu ili nibaki na nafasi ya kutosha watoto kucheza,car park etc.mkuu NM.... kokoto nyeusi zinajulikana kama granite aggregates na kokoto nyeupe zinajulikana kama coral agreggates ..... concrete (zege) huwa designed kutokana na uzito au uimara strength katika matumizi (concrete grade) ...... grade nyingi za structural concrete huhitaji kokoto nyeusi ... kama vile concrete grade 30 C30 AU GRADE 28 hii ni kwa ajili ya slabs, columns, beams and foundation pads and strips ...kokoto nyeupe kama inavyoitwa ubuyu mtaani ni kokoto ambayo haina nguvu na hutokana na mwamba uliokaribu na uwanda wa bahari yaani coral reef na mara nyingi huwa na composition ya chunvi hivyo kutokuwa na mahusiano mazuri sana na cement .... cement ndiyo kiungo kikubwa cha structural concrete members hivyo basi kama cement haitaungana vilivyo pamoja na kokoto, mchanga na nondo hilo jengo halitakuwa imara .... kukoto nyeupe hutumika kama zege chafu (blinding) na zege ambalo halihitaji reinforcement (nondo) yaani plain concrete
@mazingira ... kwa ujumla tofali unalouliza ni vibrated concrete block .... hili utalipata kwa supplier anayetengeneza tofali 25 mpaka 28 kwa kutumia mfuko mmoja wa kilo 50 za cement lililofanyiwa curing ( kumwagiwa maji ) kwa siku saba ... hivyo basi kuwa na TBS ya kiwango cha 3.5-5KN (kilo newtons)
tofauti ya kokoto nyeusi na nyeupe ktk uimara ni nini?kwa jengo la ghorofa moja la makazi kuna ulazima ganiwa kutumia kokoto nyeusi
Bei ya nondo ni Tsh 1400,000 per ton haijalishi ni size gani,tofauti itakuwa ni idadi,kokoto za msolwa ni nzuri na ndizo recomended ila inategemea unataka kujenga gorofa la ukubwa gani kama ni la kuishi unaweza tumia hata nyeupe kama ni la bishara na unategemea ni zaidi ya gorofa mbili ni bora utumie za msolwa.Ukihitaji hizo kokoto ni PM nondo nenda pale KAMAKA Tabata opp. Sita steel.Tofali bei zake ni 800-1300 vibrated
Mazingira u as client hustahili kurecomend strength ya material so far kuna watu maalum kwa ajili hiyo...kwani Eng aliyekufanyia calculation kwenye structure hakusuggest aina ya aggregate unazostahili kutumia! Pia suala la nondo si kununua tu kwa hisia ni lazima kutumia wataalam kulingana na jengo lako kwa kua kuna Mild steel na High Tensile ambazo zote hutumia kulingana na maelekezo ya Eng!
kama unahitj. madirisha na milango za PVC (mostly used in ENGLAND of white colour)
send email for quote
info@aqeel.co.tz
Bei ya nondo i Tsh 1400,000 per ton haijalishi ni size gani,tofauti itakuwa ni idadi,kokoto za msolwa ni nzuri na ndizo recomended ila inategemea unataka kujenga gorofa la ukubwa gani kama ni la kuishi unaweza tumia hata nyeupe kama ni la bishara na unategemea ni zaidi ya gorofa mbili ni bora utumie za msolwa.Ukihitaji hizo kokoto ni PM nondo nenda pale KAMAKA Tabata opp. Sita steel