Andaaa kama kalaki hivi mkuu.
1. Nunua kamba kwa ajili ya kuruka utajenga pumzi, kujenga nguvu za mikono na kubalance mwili
2.Resistance springs , hivi zinakata mwili n kuujaza piaa, inajenga muscle fasta, unaweza zitumia kwa ajili ya kifua, mikono n miguu pia.
3.Tafuta rola yako , kujenga Core , abs na mgonga pia, utaipenda matokeo yake ukijua kutumia dude.
4.Ukiweza kupata taili kubwa, zito flani. Ili unabigirisha inajemga sana mikono na stamina. Unaweza lichezea pia kama wafanyavyo watoto unakimbia nalo safi sana. Ukikosa hilo ,tafuta gunia kubwa Jaza mchanga then una ribingilisha utakubali mziki.
5. Tools za kupigia Push ups, kama hupendi kujenga sugu za mikono, au nakozi nunua hizo.
Hizi ni some tu, na la ziada ukipata sehemu ukafunga chuma ukawa unapiga PULL UPS, siku tatu utaona mziki ulivyo.
Karibu kwa ushauri zaid.......
Chakula n.k
Baadhi ya picha check chini.
Note , usipende sana kubeba chuma hivi vya kitaaaa, nenda kwny vile vyenye uzito uliobalance vizuri kama kufanya
home hupendi