Jamani wana JF naomba mnisaidie kwani mwaka wa 10 sasa sina hamu na watu wa jinsia nyingine (wanawake). Niliachana nao rasmi tangia muda huo kwani kila nikiwavutia room nakosa kabisa hata hamu ya kuwanyonya wala kutomasana.
Kwa ujumla nakosa ASHIKI kabisa.
Naleta mada hii kweni kwa kuwa sasa najiaandaa kuoa (nadhani 2011), naomba mnisadie kupata hivyo vidonge kama vipo au hata tiba mbadala ikiwezekana kwa lengo la kunitoa AIBU.
Wasalaam mdau mwenzenu.
hapo thatha, itakuwa kalazimishwa tu huyu lol! kwanza una miaka mingapi Edmund?:A S 39:Duh kweli kuwa uyaone!sasa miaka 10,huna hamu ya kuwa na mwanamke,unapata hamu ya kuoa kutoka wapi kaka?umelazimishwa kuoa?Ebu tueleze hasa tatizo lako tujue tiba mbadala au kajogoo bamia nn?
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwani mwaka wa 10 sasa sina hamu na watu wa jinsia nyingine (wanawake). Niliachana nao rasmi tangia muda huo kwani kila nikiwavutia room nakosa kabisa hata hamu ya kuwanyonya wala kutomasana.
Kwa ujumla nakosa ASHIKI kabisa.
Naleta mada hii kweni kwa kuwa sasa najiaandaa kuoa (nadhani 2011), naomba mnisadie kupata hivyo vidonge kama vipo au hata tiba mbadala ikiwezekana kwa lengo la kunitoa AIBU.
Wasalaam mdau mwenzenu.
mshauri mwenzi ili naye apate starehe ya paradiso ya duniani jamaniWakati mmnafikiria kuachana na maswala ya kumega wewe ndo kwanza unataka bora ujibakie hivyo hivyo kumega bana hasara ni nyingi kuliko faida ya kumega.
mshauri mwenzi ili naye apate starehe ya paradiso ya duniani jamani
Edmund unadai umeachana na mambo ya wanawake 10 years past..:confused2:
Kwa hiyo huwa .mlingoti hau-stand? ama ni hamu tu haikuji?
1. Kula vyakula vya kuongeza hamu wanadai ufuta,karanga,pweza, ngisi,watu wa Pwani wanaweza kukusaidia ..
Vidonge nadhani vina madhara makubwa baadae..
Duh kweli kuwa uyaone!sasa miaka 10,huna hamu ya kuwa na mwanamke,unapata hamu ya kuoa kutoka wapi kaka?umelazimishwa kuoa?Ebu tueleze hasa tatizo lako tujue tiba mbadala au kajogoo bamia nn?
ni kwamba nimepoteza hamu tu ya tendo lenyewe la ndoa lakini mambo mengine yote yapo poa kabisa.
Unaujua Mkuyati...?!!!:glasses-nerdy:...ikishindwa hiyo.. walahmushkeli yako itakuwa kuba sana!!
sababu ipi inayokufanya sasa utake kuoa?
pita barabara ya manzese kwenda mabibo kuna waganga kibao wanauza mikuyatiMkuyati unapatikana wapi ndugu yangu.
nahitaji kujenga FAMILIA