nahitaji vibanda vya biashara Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya Na Mtwara

nahitaji vibanda vya biashara Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya Na Mtwara

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
690
Reaction score
354
Ndugu,
Nahitaji vibanda vya biashara kwa kupanga(kukodi) ktk miji ya Dar, Mwanza, Mbeya, Mtwara na Arusha.

Kwa vile vibanda vya mjini ni most wanted,

kama ni dalali/mmiliki/mtoa taarifa unaweza kuniandikia ktk pm au hapa chini kwa kueleza mji, sehemu banda lilipo na bei yake kwa malipo ya mwezi.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom