Nahitaji ushauri

Hiyo issue mbona ndogo sana mwambie umepata dharura hutaweza kwenda msibani
 

upo kama mim.ndo maana hata hl jambo nimejham kabsa.cpend ukorof
 

asante.ni kwel msiba si jambo la kuzoeleka
 
Huo msiba unakuhusu nini????? Ukimpa pole inatosha labda kama kuna unachoitaji toka kwake.

nikiangalia alo nikosea ni ktongozo tu.lakn msimamo ni wangu kukubal au kukataa.na msiba ni jambo la jamii.nahc unanihusu
 
wewe unaenda msiba huu kama nani? ni dhahiri mpenzi wako lazima atie shaka na huyo rafiki wako wa za
mani lazima atataka urafiki na yeye ukomae ili akuoe wewe baada ya mke wake kufariki,mchague umpendaye kwa dhati
 
Kumbuka ni rafiki yake huyo wameshashirikiana kwenye mambo mengi

Wameshirikiana ndio lkn ye anaenda kama nani hapo??? why wasting tears n' time?? tunatofautiana mazingira ya kukua lkn binafsi yng siwezi kabisa!
 

nakushauli ubadilishe Id yako uitwe weak gal.
 

Nyambari katuharibiria vijana na ujariamali wake.
 
hakuna umuhimu wa kwenda kwe msiba, we mpe pole na umwambie umepata uzuru!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…