strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 216
- Thread starter
-
- #61
jamaa kafiwa na my wife wake. hala hala baada ya msiba. Wamama tulivyo na huruma tena. Ukishakuwa na mwenza mahusiano na jinsi nyingine yafanywe kwa uangalifu tafadhali.
Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.
Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa
kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil
japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kaz
Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko
wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda
hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda
mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis
nilipo pata mpnz hakufurahia nam nikajitahd kupunguza ukarbu.japo mpnz
wangu alikuja ona text yake.akapata mashaka nikamwambia ishu nzma
akaelewa na kulipotezea.
Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe...nami nahisi nahitaji kwenda
as msiba ni msiba..lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha
gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa
uandishi mbaya.
Wapi tulipomkomalia au ndio kunogesha story?Sie tumempa ushauri aandike vizuri baada ya hapo ndio kaongeza paragraph kuwa tumsamehe kwa muandiko wewe sasa nakushangaa unavyodai tumemkomalia kwa kipi hasa labda???
Ili upate ushauri mzuri na watu watoe busara zao huna by kuleta mada yako vizuri. Sawa binti??
dah gf kwa kushambulia watu? dogo kaomba samahani lakini bado hamjamuelewa. ok mwambie bf wako ila msiban nenda maana kama ulimkatalia before leo ndo utakubali? pole
Haina shida mumie mie nakuelewa sema namshangaa huyo anayekurupuka nakutoa lawama bila hata kuuliza
Sitanii Khantwe. Huombi ruhusa kwa mtu asiye na mamlaka na wewe. Ukiwa class unaomba ruhusa kwenda toilet kwa class monitor au mwalimu coz wao ndio wana mamlaka.
Boyfriend ana mamlaka gani juu yako hadi umuombe ruhusa? Unatoa taarifa kuwa umefiwa na unataka kwenda msibani. Akija kuwa mchumba( kwa maana ya uchumba) tayari ana mamlaka kwako so katika situations kama hiyo ni LAZIMA uombe ruhusa.
Nadhani kuna tofauti kati ya kuaga naAisee sijui kwa nini huwa napenda maisha ya kujihami.....mimi ni lazima niage watu mkishakubaliana kuwa pamoja tayari huo ni mkataba hata kama sio rasmi uhuru lazima uwe na mipaka....yan leo hii nampigia bf simu eti niko iringa nimekuja Iringa rafiki yangu Y kafiwa na mpenz alishakuta meseji za mitongozo kwenye simu yangu... Anyway kila mtu na mtazamo wake lakini
Nadhani kuna tofauti kati ya kuaga na
kuomba ruhusa. Btw, huna sababu ya kuishi maisha ya kujihami, hiyo ni dalili ya woga.
Mpotezeeee ht kwenye msba usiende.. Ikiwezekana badili namba.. Ila km unamtaka kubali uwe mchepuko
over.
Wewe mwambie tu Boyfriend wako kuwa wataka enda kwenye msiba wa huyo rafiki yako then sikiliza atakavyosema alafu fata ayasemayo.
Urafiki upo tongozo ni kawaida so sioni kuna ubaya wakwenda then nenda kama mtu mwingine not as a friend hii ni dunia leo kwako kesho kwa mwenzio ni hayo tu
Nahisi kama huo msiba haukuhusu binti.
ila wana MMU kuna hii tabia ya kupinga na kukosoa thread za wenzenu sio nzuri kwa kweli...!!!
mwenzenu kaja kuomba ushauri nyinyi mnamkatisha tamaa!! yeye mwenyewe alijua kama kaandika vibaya ndo maana mwisho akaomba radhi kwa mwandiko wake...
mnazingua bhana Honey Faith , Eiyer mmeniboa sana sio ishu nawaambia kweli....!!!!