strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 216
- Thread starter
-
- #41
kama boy wako hana mwelekeo hiyo ni opportunity! Siku hizi tunatumia akili moyo tunautumia kwa kula raha za dunia tu kama kuku kwa mrija wine baridiii na kuwalea wanetu na wazazi! Hawa wanaume usiwape moyo wako wataukunja! Akili mkichwa
asante mpendwa kwa ushauri.hofu yangu kubwa nilposikia suala la msiba.kibinadam nimeshtuka sana.ukizngatia hajaumwa..lakn maswal meng yakawa yananijia kchwan...yakua tendo lolote ntalolfanya kuanzia sasa ni mbegu..
ila wana MMU kuna hii tabia ya kupinga na kukosoa thread za wenzenu sio nzuri kwa kweli...!!!
mwenzenu kaja kuomba ushauri nyinyi mnamkatisha tamaa!! yeye mwenyewe alijua kama kaandika vibaya ndo maana mwisho akaomba radhi kwa mwandiko wake...
mnazingua bhana Honey Faith , Eiyer mmeniboa sana sio ishu nawaambia kweli....!!!!
Una uhakika kafariki kweli?
Usije ukawa mtego
Sikiliza roho yako km ina amani na mshirikishe mwenzio mshauriane
Inaskitisha kwa kweli, maana walivyomkomalia utasema wanajuana.
kweli kichwa yako ina matatizo, hii umeandika nini tena?asante kwa kujal...nime aga kwa kueleza vle najhc na vle nataka..cta kurupuka.
Wakati nacomment hakuwa amesema kuhusu kufiwa wala kuomba msamaha naona baada ya kumwambia kaandika vibaya ndio kaongezea hicho kipande cha mwisho kuwa huyo jamaa kafiwa na mkewe na tumvumilie kwa uandishi wake.
Halafu kama nakuboa fanya means nisiwe nakuboa maana mie niseme before hata hajaja kuongeza alichokiongeza
Kwani mpenzi ni mume? achilia mbali mchumba...unaweza kwenda na kumpa taarifa mpenzio kuwa upo/unaenda msibani na kumfariji rafikiyo.
After all nna uhakika huyo mpenzi hajulikani kwa yetote kwenu. Ruhusa unaomba kwa mchumba( sio uchumba wa kuvalishana pete bar) au mume, lakini bf wa kumegana mnapeana taarifa tu
Kwani mpenzi ni mume? achilia mbali mchumba...unaweza kwenda na kumpa taarifa mpenzio kuwa upo/unaenda msibani na kumfariji rafikiyo.
After all nna uhakika huyo mpenzi hajulikani kwa yetote kwenu. Ruhusa unaomba kwa mchumba( sio uchumba wa kuvalishana pete bar) au mume, lakini bf wa kumegana mnapeana taarifa tu
kweli kichwa yako ina matatizo, hii umeandika nini tena?
I hope u r not siriaz
Hahahaa jf bhana....akili za kuambiwa changanya na zako kiukweli
hata ukinipa pen nta andka hv hv..
Sitanii Khantwe. Huombi ruhusa kwa mtu asiye na mamlaka na wewe. Ukiwa class unaomba ruhusa kwenda toilet kwa class monitor au mwalimu coz wao ndio wana mamlaka.
Boyfriend ana mamlaka gani juu yako hadi umuombe ruhusa? Unatoa taarifa kuwa umefiwa na unataka kwenda msibani. Akija kuwa mchumba( kwa maana ya uchumba) tayari ana mamlaka kwako so katika situations kama hiyo ni LAZIMA uombe ruhusa.
ooh nimekuelewa mpendwa..kuna mda cjui ndo kupanic nili upload post nusu..then nimekuja gundua wakat nairudia kusoma...samahan nimesababisha mtu mwingne akuone vbaya