Inatakiwa umtizame kwa karibu lakn nenda nae mkapime afya ili uchumba wenu uwe na amani,lakn mkuu muhimize asome zaidiKama ilivyo kawaida kwa kijana awaye yote kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa ajili ya ku-make family! Ni takribani miaka miwili iliyopita nilijaribu kuwa karibu na binti mrembo ili niweze kumfahamu zaidi tabia na mwenendo kwa ujumla, kabla sijamtamkia/kumwomba rasmi uchumba, Hata hivyo ilikuwa mapema mno kwa she was at O'level kwa maana kwamba kahitimu form iv last year! Baada ya kuhitimu matokeo yake hayakuwa mazuri! Kutoka na urembo na maadili alokuwa nayo alivuta wanaume wengi na hivyo nilipata taarifa kuwa anamchumba na anamtafutia center ya kuresit paper ikiwa ni pamoja na gharama za mitihani! Na kikubwa zaidi ameshamtambulisha home kwao! Cha ajab binti amekuwa akinitafuta mara kwa mara akinitaka 2we wachumba! Nikimuliza juu ya mchumbake ananiambi alijikuta amefanya maamuzi potovu kutoka na stree za paper kwan baada ya kutulia alitokea kumtoa moyo kadri siku zinavyozidi kwenda kutoka na kupata skendo kibao za msela na kanihakikishia kuwa wana muda hawana mawasiliano, na kuwa anahisi yeye ni moja ya mbavu zangu! Ki ukweli mi nampenda sana! Je wanajamvin as critical thinkers, I'm waitin 2hear from u, what should I do?
Asante sana Mkuu! Lakini ungenipa hints juu ya hivyo vimitihani vya hapa na pale!Unajua ni ngumu kujua ukweli wake. coz hawa wa2 unakuta anakuja kwako kumbe katibuana na mchizi au yaweza kuwa kazimia mkwanja sio cc2 ndio 2napenda hata wao wana2tamani kwa njia 1 au nyengine. kuwa makini nae na kama m2ndu na wa2 hawa jaribu kumpa vimitihani vya apana pale kumpima ukweli wake. afya muhimu ndugu. nakutakia safari njema ya malavidav
Hapo kwenye red, mwangalie kwa undni huyo mtoto, mwenyewe unakiri kwamba ni ajabuKama ilivyo kawaida kwa kijana awaye yote kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa ajili ya ku-make family! Ni takribani miaka miwili iliyopita nilijaribu kuwa karibu na binti mrembo ili niweze kumfahamu zaidi tabia na mwenendo kwa ujumla, kabla sijamtamkia/kumwomba rasmi uchumba, Hata hivyo ilikuwa mapema mno kwa she was at O'level kwa maana kwamba kahitimu form iv last year! Baada ya kuhitimu matokeo yake hayakuwa mazuri! Kutoka na urembo na maadili alokuwa nayo alivuta wanaume wengi na hivyo nilipata taarifa kuwa anamchumba na anamtafutia center ya kuresit paper ikiwa ni pamoja na gharama za mitihani! Na kikubwa zaidi ameshamtambulisha home kwao!
Cha ajab binti amekuwa akinitafuta mara kwa mara akinitaka 2we wachumba! Nikimuliza juu ya mchumbake ananiambi alijikuta amefanya maamuzi potovu kutoka na stree za paper kwan baada ya kutulia alitokea kumtoa moyo kadri siku zinavyozidi kwenda kutoka na kupata skendo kibao za msela na kanihakikishia kuwa wana muda hawana mawasiliano, na kuwa anahisi yeye ni moja ya mbavu zangu! Ki ukweli mi nampenda sana!
Je wanajamvin as critical thinkers, I'm waitin 2hear from u, what should I do?
Pretty ni kweli she is about 18 but the problem anasumbuliwa kiasi cha kukosa msimamo! Istoshe kwao sio mambo safi kivile! Lakini kumbuka Marriage ina step like Dating, Engagement then marriage it cost almost 3yrs! So she 'll be 21yrs! Au unasemaje!
Umenena vyema mkuu! Japo sijawa karibu naye takribani 4months but I hope she is not prst as such! Let take an ample time 4 further investigation!Actually mi nahisi tusimchukulie sana huyo binti kicheche, koz kwa maelezo yako anadai kama alifanya maamuzi bila kushirikisha sana ubongo ukizingatia maumivu na stress. Kusumbuliwa kwa demu mkali ni kawaida na ushukuru demu wako anafuatwa, ikitokea ana msimamo na amekupa moyo wake 100% una bahati. Fanya utafiti.