Jambo la msingi jaribu pia kuwasiliana na familia ya huyo kijana aliyempa mimba thou inawezekana hauifahamu lakini since huyu kijana anasoma pamoja na huyu binti basi inakuwa rahisi kupajua kwao pamoja na ku-dodge kwa huyu kijana. Ni vizuri ukiendelea kukaa na huyo binti ukimsaidia huku ukiendelea kufanya mawasiliano na upande wa pili.
Kitu kingine kilichonishangaza ni jinsi huyo mama yake alivyomwambia kuwa aitoe hiyo mimba
Huyu mama upande wa pili, mentality ambayo iko kichwani kwake ni kuwa wewe unaweza kumfukuza huyu binti halafu mzigo wa kulea mimba ukamuangukia huyo mama ndio maana anaona ili isiwe taabu ni bora kuitoa hiyo mimba mama wa watu anaogopa majukumu ila hawazi upande wa pili leo na kesho huyo mtoto ambaye anasema akatolewe anaweza kuja kuwa msaada mkubwa kwakeasante,Finest na mimi kuhusu huyo mama ndo limenipa tatizo anamuambia tu mtoto atupilie hiyo mimba huko hajui hata itakuaje na akipata matatizo yatabaki kwa nani.
Nakushauri uendelee kuwa nae msaidie mwanamke mwenzio kufikia malengo yake hiyo mimba imetokea bahati mbaya.
Sidhani kama huyo binti anaweza kumsingizia huyo kijana mimba kwahiyo ni vizuri zaidi wakati ukiendelea kumsaidia huyu binti, ukajaribu kufanya mawasiliano ya haraka na familia ya huyo kijana maana uki-delay na wao wanaweza kuchomoa wakamtetea kijana wao kwamba sio yeye anayehusika na huo ujauzito kwahiyo ni vizuri ukalichukulia hili suala la kushirikisha upande wa pili kwa uzito wa hali ya juu.
Nina uhakika ukimwambia mdogo wako aendelee kumchunguza basi hata nyumbani kwao huyu kijana anaweza kuwa anapafahamu vizuri tu.
[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]Tena tusichoke kuyatenda Mema kwani tutavuna kwa wakati wake tusipozimia mioyo[/FONT]Jamani hawa watoto hawafikiri ,yaani maisha magumu unamsaidia apate elimu ajisaidie yeye anaenda kufanya madudu
Msaidie Chauro .
Naombeni ushauri wenu tafadhali.
nimejiuliza maswali mengi,napata wakati mgumu sana
1.Je nimuondoe nyumbani kwangu? lakini napata huruma ataenda wapi .kusema kweli naifahamu vizuri hali ya familia yake ni duni sana.Kumbuka mama ameshauri atoe
si support kutoa iyo mimba[/COLOR] kwakweli namuona kama mdogo wangu.
...Ushauri wenu ni wa muhimu sana, nakumbuka wakati nampeleka shule niliongea nae sana sijui aliona maneno yangu hayana maana huruma iliyoingia moyoni mwangu sijui niilezeje.
NAWATAKIA KAZI NJEMA.
Jamani hawa watoto hawafikiri ,yaani maisha magumu unamsaidia apate elimu ajisaidie yeye anaenda kufanya madudu
Msaidie Chauro .