Nahitaji ushauri maoni Pesa yangu Gereza langu.

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Naomba ushauri wako,usinitukane najua binafsi nimekosea nahitaji kutatua hili tatizo nini nifanye.
Mimi ni mfanya biashara mwaka Jana mambo hayakuwa mazuri kwangu nilienda bank nikakopa milioni nne,ili kuendelea na biashara katika hizo milioni nne,milioni mbili nilichukua nikalipa madeni ambayo nilikuwa nadaiwa na watu wa Vikoba hivyo nikabaki na milioni mbili nikaendelea na biashara.
Mwezi wa kwanza mwaka huu alikuja rafiki yangu ninaye mwamini na ambaye tumekuwa tukiazima hela Mara nyingi tunapokuwa na shida.
Alipokuja akasema hivi hakuna mtu unayemfahamu ambaye anakopesha kwa riba? Ninashida ya milioni moja!
Basi nikafikiria nikawaza ngoja nimpe milioni moja,basi nikampa milioni moja kwa makubaliano ataifanyia kazi halafu baada ya mwezi atarejesha na asilimia ishirini na tano. Maana yeye ameajiliwa kampuni ya simu smart na alisema analaini zake za Mpesa na tigopesa hivyo laini zake zitafungiwa basi nikampa hiyo milioni moja baadae akaomba nimuongezee laki tano nikamuongezea kwa hiyo ikawa tayari nimempa milioni moja na laki tano.
Kweli ilipofika tarehe 30 mwezi wa kwanza akarudisha milioni moja laki nane na themanini elfu,daah nikawaza hii biashara nzuri tayari kwa mwezi mmoja tu nimeshatengeneza faida ya laki tatu na kitu basi sikupeleka rejesho benki maana inatakiwa kila mwezi nipeleke rejesho laki mbili na nusu sasa baada kuona hii biashara na huyu jamaa ni nzuri nikasema ngoja nisubiri.
Basi baada ya kunipa tarehe 30 mwezi wa kwanza tarehe 31 akaomba milioni mbili nisema bingo kwa sababu tarehe 28 mwezi wa pili atarejesha milioni mbili na laki tano ambayo hiyo laki tano ndiyo ile riba asilimia 25 ambapo nikawaza niikipata tu nitapeleka benk kama rejesho.
Sasa ndugu zangu,mpaka muda huu naandika hii taarifa kwenu unamakosaa hata mia! Makubaliano ilikuwa ni tarehe 28 mwezi wa pili.
Nilipompigia simu tarehe 28 mwezi wa pili alisema nisiwe na wasiwasi anatuma lakini ilienda mpaka tarehe mbili hajatuma baada ya kumkumbusha akasema subiri kunacheki naifuatilia nimechukua CRDB benk na Mimi Niko BOA benk so subiri nakupa hela yako,nikasubiri siku mbili zimepita kumuuliza akasema nipe siku tatu nikampa baadae uzarendo ukanishinda ikabidi nikashtaki kwa wazee wake kufika bahati nzuri nayeye akatokea ikabidi nimueleze Mzee wake mchakato ulivyo Mzee wake akasema mwanangu unamakosa kwanini hukuwa mkweli mtu unamzungusha kawaida cheki benk kwa same benk huchukua siku moja ila kama ni benk tofauti huchukua siku saba basi shuhurikia umalize hili suala,tukatoka hapo kwa makubaliono kuwa suala hili atalimaliza lakini matokeo yake nikalenda tu kesho anazaa kesho Mara mshahara wangu haujatoka Mara Kuna watu nawadai nawafuatilia n.k
Sasa ndugu zangu hela ilitakiwa toka mwezi wa pili huu naingia mwezi wa nne nifanyaje? Maana benk rejesho linanisubiri biashara zangu zimesimama nini nifanye nilimwamini sana kiasi nilimpa hela bila kuandikishana popote ingawa meseji zote nilizomtumia hela ninazo,nifanye nini ndugu zangu ushauri wenu maana hapa Niko njia panda sina Amani sina furaha nikimuona nashikwa na hasira hata kuongea nashindwa nini nifanye nipate hela yangu.
 
Ushauri tunaweza kukupatia lakini kupata fedha zako kwa wakati Sio jambo rahisi ni Bahati sana.

Jamaa ni tapeli wa kiwango cha lami kwanza nampongeza kwa kuweza kucheza na saikologia yako alichokifanya " He give you short term benefit in order to satisfy his long-term objectives "

Ni ngumu sana kuchomoka kwa mitego ya staili hii. Yahitaji uwe very committed.
 
Nimekuelewa
 
Naomba ushauri wako,usinitukane najua binafsi nimekosea nahitaji kutatua hili tatizo nini nifanye.
Mimi ni mfanya biashara mwaka Jana mambo hayakuwa mazuri kwangu nilienda bank nikakopa milioni nne,ili kuendelea na biashara katika hizo milioni nne,milioni mbili nilichukua nikalipa madeni ambayo nilikuwa nadaiwa na watu wa Vikoba hivyo nikabaki na milioni mbili nikaendelea na biashara.
Mwezi wa kwanza mwaka huu alikuja rafiki yangu ninaye mwamini na ambaye tumekuwa tukiazima hela Mara nyingi tunapokuwa na shida.
Alipokuja akasema hivi hakuna mtu unayemfahamu ambaye anakopesha kwa riba? Ninashida ya milioni moja!
Basi nikafikiria nikawaza ngoja nimpe milioni moja,basi nikampa milioni moja kwa makubaliano ataifanyia kazi halafu baada ya mwezi atarejesha na asilimia ishirini na tano. Maana yeye ameajiliwa kampuni ya simu smart na alisema analaini zake za Mpesa na tigopesa hivyo laini zake zitafungiwa basi nikampa hiyo milioni moja baadae akaomba nimuongezee laki tano nikamuongezea kwa hiyo ikawa tayari nimempa milioni moja na laki tano.
Kweli ilipofika tarehe 30 mwezi wa kwanza akarudisha milioni moja laki nane na themanini elfu,daah nikawaza hii biashara nzuri tayari kwa mwezi mmoja tu nimeshatengeneza faida ya laki tatu na kitu basi sikupeleka rejesho benki maana inatakiwa kila mwezi nipeleke rejesho laki mbili na nusu sasa baada kuona hii biashara na huyu jamaa ni nzuri nikasema ngoja nisubiri.
Basi baada ya kunipa tarehe 30 mwezi wa kwanza tarehe 31 akaomba milioni mbili nisema bingo kwa sababu tarehe 28 mwezi wa pili atarejesha milioni mbili na laki tano ambayo hiyo laki tano ndiyo ile riba asilimia 25 ambapo nikawaza niikipata tu nitapeleka benk kama rejesho.
Sasa ndugu zangu,mpaka muda huu naandika hii taarifa kwenu unamakosaa hata mia! Makubaliano ilikuwa ni tarehe 28 mwezi wa pili.
Nilipompigia simu tarehe 28 mwezi wa pili alisema nisiwe na wasiwasi anatuma lakini ilienda mpaka tarehe mbili hajatuma baada ya kumkumbusha akasema subiri kunacheki naifuatilia nimechukua CRDB benk na Mimi Niko BOA benk so subiri nakupa hela yako,nikasubiri siku mbili zimepita kumuuliza akasema nipe siku tatu nikampa baadae uzarendo ukanishinda ikabidi nikashtaki kwa wazee wake kufika bahati nzuri nayeye akatokea ikabidi nimueleze Mzee wake mchakato ulivyo Mzee wake akasema mwanangu unamakosa kwanini hukuwa mkweli mtu unamzungusha kawaida cheki benk kwa same benk huchukua siku moja ila kama ni benk tofauti huchukua siku saba basi shuhurikia umalize hili suala,tukatoka hapo kwa makubaliono kuwa suala hili atalimaliza lakini matokeo yake nikalenda tu kesho anazaa kesho Mara mshahara wangu haujatoka Mara Kuna watu nawadai nawafuatilia n.k
Sasa ndugu zangu hela ilitakiwa toka mwezi wa pili huu naingia mwezi wa nne nifanyaje? Maana benk rejesho linanisubiri biashara zangu zimesimama nini nifanye nilimwamini sana kiasi nilimpa hela bila kuandikishana popote ingawa meseji zote nilizomtumia hela ninazo,nifanye nini ndugu zangu ushauri wenu maana hapa Niko njia panda sina Amani sina furaha nikimuona nashikwa na hasira hata kuongea nashindwa nini nifanye nipate hela yangu.
Pole best , mm ningeshaur uzungumze na jamaa na mpe uguru akupe kiasi chochote alichonacho kwa wakat huku na kingine kiendelee kufuata hizo kalenda. ... kwakuwa huenda anayo kiasi flan ila sio kamili kukidhi deni. ...
Kwa kumpa uhuru huo utapunguza ukubwa wa hasara.
 
1. Nenda kazini kwake shitaki
2. Chukua police uende nao kwake ukachague vitu ndani vyenye thamani ya mill tatu ukiuza nyingine ya usumbufu.
3. Huo unaitwa wizi wa kuaminiwa hata mahakamani ipo kwenye makaratasi yao
 
Tafuta upinde na mishale ya sumu toboa huyo jamaa akafie mbali bora akufe tu manake watu wengine wandhan pesa zinaokotwa' ingekua mimi jamaa kashazikwa na ameshasahaulika huwez nifanya boya kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom