public zungu
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 42
kesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC
Muombe Moderator akubadilishie title inasoma TB kumbe umemaanisha TVkesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC
Unanunua chogo?kesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC
Yani nimekuja mbio nikasema ohh kumbe Tv ,,,mkuu tb imetutisha humu ndni tulimpoteza mwenzetukesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC