Nahitaji ushauri kwenye jambo hili


[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 

Asante kwa ushauri babuu
 

Shukran kwa ushauri mzuri [emoji1431]
 
shukuru kwa kuona rangi yake. usilazimishe mapenzi, alikuwa hakupendi ila alitaka msaada wako tu. sasa anaona anajiweza. usimdhuru tafute mwingine.

[emoji1431][emoji1431][emoji1488][emoji1431][emoji1431]
 
umemfungulia genge
wateja watakuja kumuoa

yaani mtu ana watoto wawili
kila mtoto na baba ake
bado unang'ang'ania hapo
mpe mtoto wa tatu na wewe umkimbie

mimba zinatoka sana
 
Unaweza ukaona Muda wako wa Mwaka Mmoja na hivyo vigharama vya kodi na ada ya mtoto wake Shule ukaona umemsaidia sana. Amini nakuambia kabla hujakutana ane wako pia ambao before walimsaidia wakiwemo hao waliomzalisha! Sasa wewe utakuwa ni kijana Domozege huna hata mtoto unakuja kuhanagaika na wanawake kama hao Masingle Mother?

Wazazi wako kama wapo hai wakipata hizi Taarifa ukawaeleza na hiki kisa watapiga ukunga
 
Ila watu jamani, we utauweza mfupa ulomshinda fisi?unataka ushauri gani kwa mfano wakati ushaambiwa hutakiwi?
 
Kujitia wanajua sana mapenzi
 
Mimeishia tu kwa mzigua tena mwenye watoto wa kila baba aisee unakifua na udogo kichwani

Mzigua na mzaramo ni sawa hapo amesharidhika na genge na kodi so subiri kurogwa tu

USSR
 
Kuna watu wanasema single mother ni wakupiga na kusepa, me nakataa kabisa. Kama mwanamke ni single mother mpitie tu mbali, unaweza ukasema uchape usepe matokeo yake ukanasa [emoji3]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Samahani nimetumia neno kali BOYA NAOMBA KULIFUTA HILO NENO.

ILA MDOGO WANGU NILIGHADHIBIKA KUSIKIA KUWA NA MWANAMKE WA AINA HIYO.

NAOMBA UACHANE NAYE MARA MOJA.

TENA WEWE UNA MUNGU.KAKUSAIDIA .UKILAZIMISHA JUU YAKO .ILA MUNGU KESHAKUFUNULIA YAJAYO

Wanawake wapo wengi.
 

nina watoto watatu mkuu
 

kweli kabisa asante kwa ushauri kaka
 
Kuna watu wanasema single mother ni wakupiga na kusepa, me nakataa kabisa. Kama mwanamke ni single mother mpitie tu mbali, unaweza ukasema uchape usepe matokeo yake ukanasa [emoji3]

yaan as me kabisa mwisho wa siku nikaja kuzama mazima daah
 
Mimeishia tu kwa mzigua tena mwenye watoto wa kila baba aisee unakifua na udogo kichwani

Mzigua na mzaramo ni sawa hapo amesharidhika na genge na kodi so subiri kurogwa tu

USSR

[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…