Nahitaji ushauri kuhusu TV nchi 43

Nahitaji ushauri kuhusu TV nchi 43

Nimeona LG OLED 48" 48C1 inauzwa mahali, brand new - zaidi ya million 2. Ila TV kali sana. Kwa laki 500, labda utapata hizi TV ambazo hazina majina makubwa, na sijui life span zake zikoje hizo za majina madogo
 
Back
Top Bottom