kwasukwasu
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 120
- 134
Hivi kuendesha gari au chombo cha moto ukiwa umevaa viatu vya wazi au sendo ni kosa kisheria naombwa kujuzwa wadau
Uliwaangalia waendesha magari ya mashindano, wanavaaga hizo dude. Nadhani sio illegal ni kwa safety purpose.kuendesha gari umevaa helment ya pikipiki jee
ukisoma chuo cha udreva kuva viatu n moja ya sheria.Vipi umekamatwa nini? Tunaomba share na sisi nini kimekusibu.