Nahitaji uchawi wa kununua

Mkuu tukutane Salenda Bridge saa 8 na nusu usiku huu, usivae nguo yoyote njoo na shuka nyeupe na nyekundu nikupeleke sehemu.
 
Mbn rahic in galama zote hio 70
Hii inahusisha vitu vingi mkuu. Inamana hyo 70 ni nauli yake kwenda na kurudi pamoja na kuandaa vifaa vyote vya kazi.

Kuku mweupe, mayai mawili ya bundi, yai viza 1, nafaka (mtama mweupe) kilo 1, ukindu, chungu, mafuta ya taa robo, nazi 2, ubani maka wa 500, marashi rose chupa 3, sadaka 6000, + dawa yenyew.
 
Poa mtaalam takuchek pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…