Nahitaji TV inayotumia DC

nachid

JF-Expert Member
Apr 14, 2011
936
203
Iwe chini ya 21 inches kama kuna mwenye uelewa aniambie ni brand gan nzuri, nyingi naona picture hazipo HD.

Ukinipm itakua bora zaidi, huu umeme pasua kichwa, bei iwe ya kitanzania.
 
tv zote za kisasa zinatumia dc voltage, mostly volt 19 DC, nyingi adopter zake zipo nje kwenye power cable. hapo wewe ni kuangalia namna unavyoweza amplify 12V ya battery kupeleka 24V, au ununue converter ya kutoa 12V DC kupeleka 180V AC ambayo tunaitumia majumbani kawaida.
 
Nashukuru but nataman zile zinazotumia 12 V DC direct
 
Back
Top Bottom