Nahitaji tubadilishane magari

Nahitaji tubadilishane magari

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Habari wadau...mimi nina gari Nissan patrol iliyo katika hali nzuri sana especially engine..natafuta mtu mwenye gari ndogo yenye thamani isiyopungua mil 8 ambae ana uhitaji wa gari kubwa tuweze kufanya exchange...Hata kama kutakuwa na haja ya mmoja wetu kuongeza na pesa kidogo hakuna tatizo.kikubwa gari yako isiwe kimeo plz. Kama hii imekuvutia njoo 0788309409 tuongee..
SIJAWEKA PICHA SABABU JOKERS NI WENGI SANA HUMU...KAMA UKO SERIOUS UKIJA PICHA NITAKUTUMIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom