Mkuu exav na mdau nimeiuza hiyo leo kwa milioni 16.5 sorry mkuu kama unataka ninaagiza nyengine itaondoka January kuja bongo ukitaka niPM tuwasiliane zaidi uende wapi ukaicheki hiyo. Niliyoiagiza nayo ni mayai ila imetembea 70,000 KM na ni petrol cc 1900 mwaka 2001-2002
Mkuu Mdondoaji, pamoja na kuchelewa kukuandikia, naomba ulete features zaidi za hii gari inayokuja. Itapendeza ukistate bei yake na nini kiko covered ndani ya hiyo bei, rangi, idadi ya milango n.k.
Karibu!