kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 203
Wadau nahitaji digital temp. control switch mwenye ufahamu naweza pata wapi.
Maduka ya vifaa ya electronics ni sehemu sahihi na yale yanayouza bidhaa ambazo zinatumia switchi kama hiyo unayotaka. Kwa dar, kariakoo na posta unaweza kupatawadau nahitaji digital temp. control switch mwenye ufahamu naweza pata wapi.