DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Ndio mkuuSorry hivi ,upogo kariako ?,,
Ndio mkuuSorry hivi ,upogo kariako ?,,
Kaka umetoa elimu kubwa sanaNdio mkuu
Sawa sawa ,, hivi top supplier kabisa wa hizi kufuli za kichina kwa kariako wanapatikana wapi ,, ?Ndio mkuu
Akili kubwa mtu wanguKumtia Moyo ni kumlaghai na kumdumaza kiakili.
Cha muhimu Kama wateja anao,
Abane matumizi yake na afanye Mzunguko mkali Sana, Kila baada ya siku mbili ahakikishe anapakia mzgo.
Yaani account yake iwe njia ya kupitishia TU pesa, Kama ana assets au Liability kadhaa, aziuze zote TU aingize pesa dukani ili afanye mzunguko.
Baada ya MDA mfupi atajikuta amekua haraka sana na atajikuta hatohitaji hizo bidhaa za Mali kauli
Mtaa WA Nyamwezi na gogoSawa sawa ,, hivi top supplier kabisa wa hizi kufuli za kichina kwa kariako wanapatikana wapi ,, ?
Mkuu nitafute uchukue mkopo Hadi million 40Habari wadau wa jukwaa hili.
Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni.
Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)
Nahitaji kupata supplier ambae atanipa mzigo kwa mali kauli nikiuza nampa pesa yake.
Mwenye connection anisaidie
Nina documents zote za biashara, kutoka BRELA, TRA na Halmashauri.