Nahitaji subscribers 2000 na watch time(4000) nakupa laki moja.

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mtu wa ukweli wa kunifanyia kazi hiyo ya youtube na kukamilisha kazi yangu ndani ya wiki moja au mbili, tafadhari subscribers wawe really malipo kazi ikikamilika

aliyetayari tafadhari aniPM
 
loh! hili andazi tamu lkn gumu!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mtu wa ukweli wa kunifanyia kazi hiyo ya youtube na kukamilisha kazi yangu ndani ya wiki moja au mbili, tafadhari subscribers wawe really malipo kazi ikikamilika

aliyetayari tafadhari aniPM
Kazi ikikamilika mtu ndo akulipe hapo kuna kua hakuna leverage maana why would you pay for what you already have, hakuna biashara hio
 
Win win situation tanguliza hela nusu ufanyiwe kazi
 
Kazi ikikamilika mtu ndo akulipe hapo kuna kua hakuna leverage maana why would you pay for what you already have, hakuna biashara hio
mkuu tutazungumza namna ya kuliweka sawa kwa pande zote
 
Back
Top Bottom