Nahitaji sticker za kubandika kwenye fremu za biashara

Mr Leo

JF-Expert Member
May 1, 2021
604
1,262
Habari za muda huu wanajamvi.

Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu.

Nahitaji sticker za kubandika kwenye frem za biashara milangoni kadhalika na madirishani mithiri ya zile za salon, bank na sehem nyingine za biashara.

Mwenye uwezo wa kufanya hiyo kazi naomba aje pm tufanye biashara.

Pia hata nikipata abcd's za wapi naweza kwenda na nikazipata pia itanisaidia.

Location: Dar es Salaam

Wasalam!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nipigie hii namba 0629109974
 
Back
Top Bottom