Nahitaji specialist

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Nimegundua nasumbuliwa na hili tatizo la ugonjwa wa zinaa ambao nahitaji mtaalam kuweza kupata mamtibabu sahihi. Ni tatitzo ambalo limejificha sana na wengi wanasumbuliwa nalo ila hawajui tu hadi pale linapokuwa chronic. kwa maelezo zaidi waweza soma hapa: Human papillomavirus (HPV)
 
mkuu how did u know una hpv? Sema una tatizo la warts. Aafu are you a she/he? Maana inategemea ho warts wako sehemu gani.
 
mkuu how did u know una hpv? Sema una tatizo la warts. Aafu are you a she/he? Maana inategemea ho warts wako sehemu gani.
Me 'he' ndugu. Pia nimesema nahisi nina hii kitu, na hivyo vipele vinaweza tokea popote mwilini. Kwani warts sio sehemu ya hiyo hpv?
 
Me 'he' ndugu. Pia nimesema nahisi nina hii kitu, na hivyo vipele vinaweza tokea popote mwilini. Kwani warts sio sehemu ya hiyo hpv?

Ni vizuri ukaweka history ya ugonjwa wako vizuri ili uweze kusaidiwa. Ni magonjwa mengi sana yanaambatana na vipele. HPV haisababishi vipele ila inasababisha uoto (vinundu) kwenye ngozi hasa sehemu za siri (mfano kichwa cha uume au sehemu ya nje **** (vulva)) japo sehemu yoyote ya mwili yaweza athirika. Vinundu (warts) hivyo ni vigumu na haviumi ukiviacha vinaweza kuwa vikubwa na vinakuwa na umbo la kichuguu na vikaharibu kabisa shape ya maumbile yako. Lakini pia HPV zinaweza sababisha kansa za aina mbali mbali kama kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake.

Kwa hiyo mkuu, kama hivyo vipele vyako ni vya muda mrefu na havisikii dawa ni vizuri ukaenda hospitali daktari akaviona na kufanya baadhi ya vipimo.
 
Ndio maana nikasema nahitaji kuelekezwa wapi nitamuona dokta mzuri wa haya magonjwa
 
Ndio maana nikasema nahitaji kuelekezwa wapi nitamuona dokta mzuri wa haya magonjwa

Daktari Dermatoveneriologist, madaktari bingwa wa magonjwa ya ngozi na zinaa! Kama upo Dar waweza mtafuta Dr Lijah pale Magomeni ama Dr Elly Muhimbili, kama upo Arusha/Moshi, fika idara ya ngozi kcmc.
 
Mkuu nashukuru kwa maelezo yako. Kwangu itakuwa rahisi zaidi Magomeni, ila wapi specifically? Maana magomeni kubwa
 
Niliwahi kupata huo ugonjwa miaka ile ya 90s.
jamaa alikuwa na nyumba ndogo, nyumba ndogo ikaenda chunya ikapata gonjwa,
jamaa akalibeba juu kwa juu akaniletea, baada ya mida akaanza ooo nilitumia taulo mahali fulani najiona sipo salama ebu na wewe nenda ukacheck, eee bana eeee kwenda pale ks miaka hiyo nikakutwa nalo, nikapewa dozi, kwenda kupima bado lipo, nikaongezwa dozi, kwenda kupima bado lipo, nikaenda pale opposite na uwanja wa mpira kulikuwa na kadispensary kadogo, nikapawa dawa kwenda kupima bado upo pale pale, nikarudi kwenye duka la jamaa yake mmoja akiitwa mondesya pale mwanjelwa nikampa vile vyeti akanipa dawa, baada ya kumaliza dawa nikaenda ks kupima ndo ikawa salama yangu, nikarudia tena kupima ikawa salama yangu, kutoka hapo imani kwa jamaa yangu ikawa 0%.
 
Mkuu nashukuru kwa maelezo yako. Kwangu itakuwa rahisi zaidi Magomeni, ila wapi specifically? Maana magomeni kubwa

Mkuu sijajua ni sehemu gani ila kuna Pale St Monica alikuwa anakwenda hapo pia, jaribu kuuliza
 
Mkuu sijajua ni sehemu gani ila kuna Pale St Monica alikuwa anakwenda hapo pia, jaribu kuuliza
mh! st monica pale manzese? wale jamaa ni mabepari haswaa. nawashauri hata msipende kwenda pale maana gharama zao ni za kufilisi
 
mh! st monica pale manzese? wale jamaa ni mabepari haswaa. nawashauri hata msipende kwenda pale maana gharama zao ni za kufilisi
Vipi huduma zao zinaendana na gharama wanazotoza?
 
Back
Top Bottom