Mnapeana au mnabadilishana????Ushauri mngekuwa mnaweka pictures vifaa vilivyo haribika itasaidia kufanya exchange humu ndani. Unaweza kuwa blender machine imeharibika mwezako anatafuta ufuniko wa blander mnabadilishana
Kweli mkuuu brenda kali kuanzia Mil 1 me yangu nlinunua Laki 9..Blender nzuri ni kuanzia 400,000 na kuendelea. Hizo za 200,000 ni za ku blend nini?nyanya? Chukua kenwood food processor kwa tsh 800,000 ipo fresh sana. Acha ubahili.
laki tisa bado itakua feki haaaaaaaa. kila mtu ananunua kitu kulingana na kipato chako sio kila mmoja anaweza lipa kiasi hicho kwa kununua blender