Nahitaji spare za Blender

Ushauri mngekuwa mnaweka pictures vifaa vilivyo haribika itasaidia kufanya exchange humu ndani. Unaweza kuwa blender machine imeharibika mwezako anatafuta ufuniko wa blander mnabadilishana
 
Ushauri mngekuwa mnaweka pictures vifaa vilivyo haribika itasaidia kufanya exchange humu ndani. Unaweza kuwa blender machine imeharibika mwezako anatafuta ufuniko wa blander mnabadilishana
Mnapeana au mnabadilishana????
 
Blender nzuri ni Kenwood. Mi ninayo hiyo ya tatu sasa imevunjwa jug na wadada wa kazi.nmeshachoka. sasa nahitaji nami nipate jug lake.
 
Blender nzuri ni kuanzia 400,000 na kuendelea. Hizo za 200,000 ni za ku blend nini?nyanya? Chukua kenwood food processor kwa tsh 800,000 ipo fresh sana. Acha ubahili.
 
Spare mpya na used zipo, nenda kariakoo mtaa wa ndanda kuna rasta ye a me specialize kwenye mablender tu.
 
Back
Top Bottom