Nahitaji spare za Blender


TIASSA

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Messages
1,825
Likes
1,169
Points
280
TIASSA

TIASSA

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2014
1,825 1,169 280
Kuna Blender Aina Ya Sansang Nilinunua Mmwezi Ulipoti Lakini Jagi Lake Linavuja Je Kuna Spea Ya Jagi Na Zinapatikana Wapi.,, Au Mpaka Nini Nunue Blender Mpya
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
29,835
Likes
77,069
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
29,835 77,069 280
Uliinunua kwa TSh ngapi?
 
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
1,599
Likes
1,846
Points
280
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2017
1,599 1,846 280
Nami Nina yangu km speak zinapatikana itapendeza zaidi
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
6,456
Likes
9,905
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
6,456 9,905 280
ukiona umenunua blenda kwa bei hzo jua hakuna kazi....mie nimenunua blender ijumaa 210!u can imagn..itakuuwa inakusumbuaaa mara usikie harufu ya kuungua mpira..tafuran
 
TIASSA

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Messages
1,825
Likes
1,169
Points
280
TIASSA

TIASSA

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2014
1,825 1,169 280
ukiona umenunua blenda kwa bei hzo jua hakuna kazi....mie nimenunua blender ijumaa 210!u can imagn..itakuuwa inakusumbuaaa mara usikie harufu ya kuungua mpira..tafuran
Umenunua Laki Mbili Na Kume Na Bado Inasumbua
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,020
Likes
2,842
Points
280
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,020 2,842 280
Wengine mnalazimisha kusaga mavitu magumu kwa nini isiharibike!!!

kifupi spare nasikia huwa zipo "used" ila sijui wapi zinapatikana. Ila ushauri ni kununua mpya tu.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,020
Likes
2,842
Points
280
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,020 2,842 280
sio harufu tu nyingine huwa zinakuwa zinatoa cheche ukuchungulia kwenye ile base ya chini wakati ikiwa 'on'
ukiona umenunua blenda kwa bei hzo jua hakuna kazi....mie nimenunua blender ijumaa 210!u can imagn..itakuuwa inakusumbuaaa mara usikie harufu ya kuungua mpira..tafuran
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,268
Likes
2,082
Points
280
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,268 2,082 280
NUNUA blender hizi ni Bora
LOVEN au NINJA Ni blender nzuri Zina dumu,
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
6,082
Likes
6,321
Points
280
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
6,082 6,321 280
sio harufu tu nyingine huwa zinakuwa zinatoa cheche ukuchungulia kwenye ile base ya chini wakati ikiwa 'on'
So zenye ubora kuanzia sh ngapi???
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
4,923
Likes
5,196
Points
280
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
4,923 5,196 280
Lipakaze superglue mkuu kama ndio kubana matumizi
 
hugo jr

hugo jr

Senior Member
Joined
Jun 3, 2018
Messages
194
Likes
291
Points
80
hugo jr

hugo jr

Senior Member
Joined Jun 3, 2018
194 291 80
kama upo dsm magomeni mwembe chai kuna jamaa anauza spare used za blender mbalimbali
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
6,456
Likes
9,905
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
6,456 9,905 280
eti Sansang watu bana wanawachanganya wateeeja,wanajua kuna wengine wakiona hlo jina watafikiri Samsung.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sijui singsung๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. lol
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,020
Likes
2,842
Points
280
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,020 2,842 280
So zenye ubora kuanzia sh ngapi???
Za lita moja au moja na nusu zinaanzia 70000 - 150000, ..sasa ukikuta iko 45000 halafu hata wakisema ni promotion hapo unatoka na kitu feki
 

Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538