Nahitaji Solar Ya M-Power

Nahitaji Solar Ya M-Power

Eliazery

Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
19
Reaction score
9
Mm kwa sasa nipo Mjini Singida, Naomba kujua aina na viwango vya solar za M-power ili niweze kuchangua aina na uwezo unaweza kukidhi mahitaji yangu kwani nahitaji hiyo solar,hakika hiyo Solar naihitaji, mwenye kujua anayeziuza au agent yeyote aje tuwasiliane ili anipe moja mbili 3,anaweza kuni sms kwa 0752979700
 
Back
Top Bottom