Habarini wakuu,
Nahitaji solar power sustem ambayo naweza Washaia taa mbili hizi za utumbo, na Feni moja na vitu kama Tv na fridge dogo, inshort nina kama master room moja na jiko, kiapartment kidogo tu kama metres nne kwa nne, kwa ujuzi wenu wakuu nahitaji solar ya aina gani hapo?
Na pia bei itakua inarange kwa aina gani maana hawa wapangaji washanipasua kichwa na mambo ya luku kila siku