Nahitaji Solar Battery (dry) Inayodumu Muda Mrefu

Nahitaji Solar Battery (dry) Inayodumu Muda Mrefu

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,664
Wakuu nahitaji Solar Dry Battery MPYA inayodumu kwa muda mrefu.
NIELEKEZENI SEHEMU INAPOUZWA AMA MTU ANAYEUZA.
Asanteni sana.
NB: Battery niliyokuwa nayo imedumu kwa miaka mitano. Nahitaji kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Back
Top Bottom