Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi.
Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali.
Peleka iringa mjin,mafinga,mwanza Nazi adimu Sana Nazi ndogo moja huko ni elfu moja hadi 2000Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi.
Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali.
Unauzaje Nazi jumla mipia nahitaji Nazi nyingiWadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi.

digxam.com