Nahitaji software ya gharama ndogo

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Habari,

Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown.

Pia ya transport na logistic low cost web version.

Nawasilisha

NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
 
habari ,nahitaji software ya gharama ndogo,web version kwaajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown

Pia ya transport na logistic low cost web version na Clearing and forwarding Erp

Nawasilisha

Nb: ikiwa imedesigniwa hapa hapa tanzania itapendeza pia
 
Habari,

Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown.

Pia ya transport na logistic low cost web version.

Nawasilisha

NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia

Gharama ndogo!? Hebu kuwa specific hiyo gharama ndogo ni kiasi gani, maana hapo ni software mbili tofauti na kama mtu ataamua kuiunganisha kuwa software moja kuna gharama
 
ninayo, njoo PM tuongee.

Niliitengeneza kama mwaka umepita ila ukihitaji customizations ntakufanyia
 
Hiyo Software uliyoielezea sio simple na usitarajie bei ndogo kwa mtu kukutengenezea. Nashauri uangalie software ambayo utakodi account na kulipia kwa mwezi

Check hii kama itakufaa wasiliana nasi kwa demo
 
Back
Top Bottom