Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Habari za wiki end ya leo?
Nahitaji kununua mashine mpya au used ya kutengeneza vitambulisho (smart card)
Mawasiliano ni mbuyi83@yahoo.com au ni PM
Tafadhali tuma maelezo ya mashine,picha zake na bei.
Napatikana Tanga.