Natafuta matibabu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 262
- 301
Nimejaribu kupita mtandaoni nimeona zipo kama vile google speech detector, ni kweli kwenye kiswahili haifanyi kazi ila kwenye kiingereza inafanya kazi lakini iwe ni maneno yaliyonyooka, yaani yaliyotamkwa vizuri kama yanavyostahili ndio yataweza kubadilishwa.Ipo, ila usitegemee ikafanya kazi kwenye kiswahili
Akili kubwa 😆Kuna Jamaa Fulani Mjuaji Meneja Wa Makampuni alikuwa a Natafuta matibabu. Msaidie chap nae akusaidie maana ni Program Manager kwenye hiyo kampuni
Ni kweli nataka kufanya transcribing hasa kwenye matukio muhimu ambapo mzungumzaji anakuwa mmoja, hata pia nikitaka kuzungumza na mtu ishu muhimu niweze kumuwekea kifaa halafu mimi niangalie computer.Zipo nyingi ila Kwa Kiswahili ni shida mkuu. Najua unafanya transcribing so the best way ni kurecord sauti then wape watu wafanye transcribing
Changamoto ni kwamba inashndwa kubaini maneno ipasavyo labda yatamkwe vizuri kwa lugha ya kiingereza, kiswahili haiweziSimple, tumia Microsoft 365 hatua chache unakamilisha ishu yako. Check link hapo chini kwa maelekezo.
Dictate your documents in Word - Microsoft Support
Developer wa Kiswahili wakiamua wanaeweza kufanya jambo la muhimu ila bado hawajatambua hii fursaUnacho hitaji wewe ni "Speech to text" Software, Programu ya AI inayobadili sauti kuwa maneno
Hizi zipo, lakini kuipata inayoelewa lugha yako ya kiswahili ni ngumu, kwa sababu moja kuu,
Kampuni na developers wanaounda na kuboresha programu za namna hii wanatokea kwenye nchi zinazo zungumza kingereza
Developers wa hapa ni aidha hawana interest au computing power na data za kutengeneza programu za namna hio.
Kazi yako itakuwa kuEdit yakae sawa, ila si kwamba haifanyi kazi. Ni kama ukichukua document ukataka Google translator ikutafsirie kwa kiswahili, itafanya ila itabidi uiweke sawa ieleweke.Changamoto ni kwamba inashndwa kubaini maneno ipasavyo labda yatamkwe vizuri kwa lugha ya kiingereza, kiswahili haiwezi