Nahitaji Smartphone ya ukweli, nina Laki 2

Nahitaji Smartphone ya ukweli, nina Laki 2

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,523
Reaction score
14,198
Jamani, Naomba kuuliza naweza pata smartphone gani nzuri kwa laki 2 dukani? Arusha au Moshi!
 
Jaman naomba kuuliza
naweza pata smartphone gani nzuri kwa laki 2 dukani?
Arusha au Moshi
  • Nenda kwenye maduka ya Tigo
  • Nunua Huawei Y530
  • Inauzwa tsh 195'000
Specification za simu angalia hapa >| Huawei Ascend Y530 - Full phone specifications
Pia kwenye hiyo link soma comments za watumiaji wa hiyo simu.
huawei-y530.jpg
Kama unapendelea simu za tecno - Basi kuna hizi Tecno H- Series ambapo bei yake haizidi 160'000

GOWIN A2
YES,YOU CAN HAVE A PERFECT ANDROID SMARTPHONE WITH YOUR BUDGET...Its A
Gowin A2 with
4+32 RAM/ROM Big capacity
Screen Size of 4.5 QHD(540*960)
Android System 4.4.2
Dual Sim
2G/3G Network
8GB external memory
Wireless Wifi/GPS/Bluetooth/FM
Back touch
Coming with Lather flip cover and Two batteries
Brandnew (Full boxed)
For only 199,999/= Tshs
call +255-714-478-797
Arusha
 
  • Nenda kwenye maduka ya Tigo
  • Nunua Huawei Y530
  • Inauzwa tsh 195'000
Specification za simu angalia hapa >| Huawei Ascend Y530 - Full phone specifications
Pia kwenye hiyo link soma comments za watumiaji wa hiyo simu.
huawei-y530.jpg
Kama unapendelea simu za tecno - Basi kuna hizi Tecno H- Series ambapo bei yake haizidi 160'000

Mkuu nashukuru. kati ya Huawei G 510, Y 530 na Techno h6 ipi nzuri zaidi?
 
Mkuu nashukuru. kati ya Huawei G 510, Y 530 na Techno h6 ipi nzuri zaidi?
  • Iondoe Techno H6
Tulinganishe G510 na Y530 kwa baadhi ya vigezo Ambavyo wawweza kutumia kuchagua simu mojawapo:
  • Internet Speed - G510 ina maximu download speed ya 7.2Mbs wakati Y530 ina kasi ya kudownload 21.1Mbs
  • Toleo la Android OS - G510 inatumia v4.1 (Jelly Bean) wakati Y530 inatumia Android OS, v4.3 (Jelly Bean)
  • Uwezo wa Betri - G510 ina betri ya 1700 mAh wakati Y530 ina betri ya 1750 mAh
  • Y530 imetoka February 2014 wakati G510 ni ya January 2013
Karibu
 
Mkuu ya simu gani ya 150000 nzuri!
  • Chukua Huawei Y330 ni tsh 130'000 kwenye maduka ya simu
  • Au Chukua Tecno H5 ni tsh 135'000 Kariakoo
  • Kama itakuwa bahati yako waweza kupata Tecno H6 kwa TSH 160'000 Kariakoo [ Inabidi uwe na muda wa ziada kupita madukani na kuulizia]
 
Asante sana Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Kuna simu hata kushika aibu...
Mie bora nishike nokia torch kuliko Techno au Huawei.
Na wazishikazo sijui nawaonaje...
Mhhh ni mtazamo tu
 
Kuna simu hata kushika aibu...
Mie bora nishike nokia torch kuliko Techno au Huawei.
Na wazishikazo sijui nawaonaje...
Mhhh ni mtazamo tu

What matters ni mawasiliano,am using huawei,and driving Toyota raum new model
 
Tatizo lenu hamuelewi mtazamo si unachitumia wewe na mimi nitumie.
What matters ni mawasiliano,am using huawei,and driving Toyota raum new model
haya naona unanidolishia Raum
Ok am using Nokia torch &blackberry passport am driving nissan xtrail...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ya simu gani ya 150000 nzuri!

Kuna uezekano wa kupata sim used nzuri tuu kibao kama vile HTC desire ila inahitaji uvumilivu ili upate sim nzuri ambayo haijachoka sana na iwe haijapita kwa fundi
 
ila mimi simu zote natumia tecno hapana
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tatizo lenu hamuelewi mtazamo si unachitumia wewe na mimi nitumie.
haya naona unanidolishia Raum
Ok am using Nokia torch &blackberry passport am driving nissan xtrail...

Good,then Huawei na techno ndo simu zetu,hazinaga shida na hazitupi stress hata ukiangusha bar next day kwa shop
 
Back
Top Bottom