TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Kuna simu hata kushika aibu...
Mie bora nishike nokia torch kuliko Techno au Huawei.
Na wazishikazo sijui nawaonaje...
Mhhh ni mtazamo tu
Una inferiority complex. Vipi ungekaa kimya na test zako, kwani wewe nani mpaka useme standards zako.