Nahitaji small Rice Mill combined with Pulverizer

Njia nafuu ya usafirishaji ni by Sea.. It takes Approximately 30 Days kufika Dar Port na 7 Days kwa ajili ya clearance process..

Kama hutojali hebu nitumie specs za hiyo machine pamoja na Supplier name in China huenda nikakuunga mkono tukaagiza pamoja ili kuokoa gharama za usafirishaji....
 

Mkuuu uko sahihi sana mana wengi nliowasiliana nao gharama zao zinafika zaidi hata ya gharama ya Ndugu zetu wa China.

Thanks kwa ushauri
 
ukitumia meli ingepungua bei kidogo. mashine ukiona inauzwa FOB dola 200. Kwa kawaida unahitaji jumla ya dola 500 mpaka 700 kuwa na uhakika wa kuipata mashine, ukipia mahesabu kwa kama ilivyo pale unaweza kukosea. Nina uhakika hata ukienda kuichonga Moshi si ajabu ikagharimu mpaka milioni pia...Kwa hiyo jiandae na mtaji kidogo bosi..
 
Jamani Mimi nauliza. Machine ya kusaga na kukoboa vinu na motor zake....being no sh.ngapi.....motor volt 48 HP4.5 RPM 1800
 
Nipo interested na hizi machine ....wataalamu piteni huku mtufungue kidogo .....Tanzania ya viwanda inawezekana wadau ....
 
I wish ningepata mtu wa kuagiza nae pamoja huu mzigo mana nimeongea na Silent Ocean na wameniambia ni dola 500 while kampuni nyingine wameniambia ni dola 450 that means tunanunua kwa jamaa for dola 500 (2 machines) na ikifika then tunawalipa jamaa hela zao
 
hiyo ni shipping charges? Inajumlisha clearing and forwarding pamoja na kodi?
 
Mkuu according to maelezo yao ni kua hiyo hela ni for shipping+customs clearance in China and Tanzania.Yani unaenda kucollect goods zako katika warehouse yao
 
Veta ,Sido na Tatedo utapata au nenda mtaa wa Morogoro vipo vifaa vyote unavyovihitaji
 
Gharama ya kuinunua na kuifikisha mikononi mwangu yaani likiwepo suala la kuinunua,usafiri na kodi ni kiasi gani kwa ufupi kiasi gani mpaka ifike mikononi mwangu nikiwa Dar I am interested
 
Kuna mzee Tarime huwa ni mtaalamu wa hivi vitu hadi watu wanatoka mijini kwenda kuchonga kwake ni PM kwa maelezo zaidi
Roho mbaya hiyo biashara nayo unafanya siri mkuu kweli wabongo tatizo ukiweka namba yako au ya yule mzee utakuwa umesadia wengi mkuu fikiri upya usiri mwingine ni kikwazo cha maendeleo
 
The way nlivowasiliana na wahusika ambao ni Wanma Machinery;Bei ya machine ni around dola 250 ila ukinunua 2 ni dola 500 (negotiable) Na uzuri ukinunua mashine 2 ndio zina fit in 1 CBM na cost will be low. Silent Ocean wameniambia ni dola 500 kama zikifit in 1 CBM na hii dola 500 ni mpaka unauchukua mzigo wako that means wewe unaenda na usafiri wako na unabeba mashine yako. Pia kuna kampuni ya SNOM Logistics nao wameniambia ni dola 450. Kwa mtu mmoja ni around dola 500 kama tutashare cost na ndio mana natafuta mtu ambae tunaweza kuagiza pamoja.

For more information about hiyo mashine ni small rice mill combined with pulverizer from Wanma machinery
 
Hii dola 500 ni gharama ya kununua,kusafirisha, kodi na kila kitu kinachohusiana na kuufikisha mzigo katika warehouse yao then wewe unaenda na gari yako kuuchukua
 
Roho mbaya hiyo biashara nayo unafanya siri mkuu kweli wabongo tatizo ukiweka namba yako au ya yule mzee utakuwa umesadia wengi mkuu fikiri upya usiri mwingine ni kikwazo cha maendeleo
Ubungo Business Park ulienda kwani zipo
 
@ Mkwaruuu ungesoma post zote ungenielewa Mkuu. Nilifanikiwa kwenda pale Business Park na hawana hizi mashine. Wao wana rice mill ambazo ni heavy duty na sio hizi za small capacity
 
Nimewasiliana na wahusika wa hiyo kampuni na hawana aina hii ya mashine na pia hawawezi kutengeneza aina hii.

Hapa Jf hatuna members wenye workshop au utaalamu wa kuchomelea ili watoe picha kama inawezekana au lah


Mkuu umechoka kupiga mpunga ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…