Nahitaji single phase kwh energy meters

Nahitaji single phase kwh energy meters

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
hizi ni mita ndogo zinazoweza wekwa katika fremu ama chumba cha kuishi,zinakuwezesha kujua kiasi cha umeme unachotumia kwa vitu vyako vya umeme,hivyo kuondoa uwezekano wa kudhulumiwa ama kuwadhulumu wengine katika kuchangia umeme,tafadhali mwenye nazo ama kujua zinapouzwa naomba msaada kujuzwa,ninazihitaji sana.shukrani
 
Back
Top Bottom