Changamoto ya afya ya akili ni kubwa.NAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana
Hatusikizi akwami, wawili tukipendana
Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
3 Kapita mingi mishale, hataogopa umande
Ajua haya na yale, kwa juhudi ajipinde
Mjuzi mambo ya kale, kucheza ngoma sikinde
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
4 Asiwe mwingi wa wana, hapo hapatanifaa
Ukimwona kama mwana, hutadhani kashazaa
Awe mmoja wa ujana, ndoa tutaiandaa
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Hujamtendea hakiChukua huyu nilimzalisha mtoto mtoto mmoja huyu kanyooka vipengele uende navyo wew Tajiri 0715900949
Hahahahaaa jmn ,kwamba asiwe mwingi wa Wana🤣 nawewe usiwe mchache wa dollariNAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana
Hatusikizi akwami, wawili tukipendana
Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
3 Kapita mingi mishale, hataogopa umande
Ajua haya na yale, kwa juhudi ajipinde
Mjuzi mambo ya kale, kucheza ngoma sikinde
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
4 Asiwe mwingi wa wana, hapo hapatanifaa
Ukimwona kama mwana, hutadhani kashazaa
Awe mmoja wa ujana, ndoa tutaiandaa
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
✍️Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Kama ni wa KURANDANA aje ashushe naye mashairi yake hapaNAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana
Hatusikizi akwami, wawili tukipendana
Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
3 Kapita mingi mishale, hataogopa umande
Ajua haya na yale, kwa juhudi ajipinde
Mjuzi mambo ya kale, kucheza ngoma sikinde
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
4 Asiwe mwingi wa wana, hapo hapatanifaa
Ukimwona kama mwana, hutadhani kashazaa
Awe mmoja wa ujana, ndoa tutaiandaa
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
✍️Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Mistari🔥🔥🔥🔥NAMTAKA SINGO MAZA

Papai hiloWe. Ni mshangazi kumbe
Aseeh ni changamoto 😢Papai hilo