Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
jaman natafta cm yenye uwezo wa whatapp
Mpya bei yake iwe Tsh. 150,000,
Je? Naweza kupata mpya kwa hapa mwanza.?
Mpya bei yake iwe Tsh. 150,000,
Je? Naweza kupata mpya kwa hapa mwanza.?
Wiliam Luna lg android IPO vizuri n ideos Google imetumika kidogo 0653491308thankx,
But
Nlikua cpendelei sana tecno,
Cwezi kupata Nokia.?