kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Kama nitapata maelezo ni simu gani na naipata wapi nitashukuru.
Niko safarini kesho naenda Singida
Niko safarini kesho naenda Singida
Njoo Singida utanikuta nikuuzie yangu infinix hot 7Kama nitapata maelezo ni simu gani na naipata wapi nitashukuru.
Niko safarini kesho naenda Singida
Njoo singida utanikuta nkuuzie yangu infinix hot 7
Una 150K unataka simu mpya, maajabu hayaishi ila inawezekana nenda dukani ukanunue misimu mikanjanja kwahiyo pesa.Asante mkuu ila nahitaji simu mpya,maana napelekea mtu zawadi
Huyu mwamba kwa ubahili ni superm [emoji16][emoji16][emoji16]Una 150K unataka simu mpya, maajabu hayaishi ila inawezekana nenda dukani ukanunue misimu mikanjanja kwahiyo pesa.
utapata Tecno Y3Asante mkuu ila nahitaji simu mpya,maana napelekea mtu zawadi