kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,123
Simu tajwa hapo juu nahitaji, budget yangu ni Milion 1.2 iwe full kila kitu.
S 8 plus ... Bei 1.2? Ukipata uniite na mimi mkuu tafadhali maana![]()
BarikiwaMkuu kuna watu wanajifiria bado, subra yavuta kheli. Wakija wengi nakupasia mimi muungwana.
Wanajifanyiaje?4rMkuu kuna watu wanajifiria bado, subra yavuta kheli. Wakija wengi nakupasia mimi muungwana.
Nazipenda hizi simu jamani ... Sema umasikini tuS8 1.7/8Mil
S8+ 1.9/2Mil samsung dealers
![]()
Umeshawahi kuhongwa?Nazipenda hizi simu jamani ... Sema umasikini tu
Sijawahi kuhongwa vipi?Umeshawahi kuhongwa?