Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Wakuu naomba wale mnaouza simu tuonane?
Nina duka la simu sii za mkononiHabari za majukumu wakuu naomba kuwasilisha mada kwenu ila kikubwa ni mahitaji yangu ya simu ila naomba iwe ni Tecno kwasababu za kimazingira.......
Nimependekeza L9+ na K9+ ila zipo nyingine nzuri zinazolingana uzuri na hizo bei tutakubaliana haiwezi kuwa tatizo sana mawasiliano 0625646266
NINA TEKNO K9 NIPE LAKI MBILI NA 50 BADO IKO KWENYE HALI NZURI TANGIYA INUNULIWE INA MIENZI 4 NICHEKI KWENYE PM AU 0715555209Habari za majukumu wakuu naomba kuwasilisha mada kwenu ila kikubwa ni mahitaji yangu ya simu ila naomba iwe ni Tecno kwasababu za kimazingira.......
Nimependekeza L9+ na K9+ ila zipo nyingine nzuri zinazolingana uzuri na hizo bei tutakubaliana haiwezi kuwa tatizo sana mawasiliano 0625646266
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muonane mbinguni mkuu au...?
Sawa mkuu sehemu gani lipo naomba addressNina duka la simu sii za mkononi
L9 320000
K9 275000
PoaaaNINA TEKNO K9 NIPE LAKI MBILI NA 50 BADO IKO KWENYE HALI NZURI TANGIYA INUNULIWE INA MIENZI 4 NICHEKI KWENYE PM AU 0715555209
Korogwe tanga naweza kutumia kama upo dar unapokea unakagua mzigo kama ni wenyewe ndo unalipaSawa mkuu sehemu gani lipo naomba address
Ni kweli mkuu ila nina 200kb ndo maana sijaenda dukani siunajua viatu vimebana!Kununua simu kwa mtu ni hatari inaweza kuwa ya wizi.