Hahaaa jf raha sana.....Acha ubishi Wewe Dogo hiyo simu inashida gani??
Simu original kabsaa hiyo
Unaleta ubishi kama ngoz ya goti
Sikutafutii tena simu
Watu Wajinga kama Wewe siwapi dili tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona sasaHahaaa jf raha sana.....
Ila mwisho wa siku namsihi mtoa mada awe makini na simu za wizi.....
Waandikishane tena ikibidi hata am record na biashara ifanyike nyumbn kwa muuzaji...
Ni week mbili tuu tumemtoa mdau selo
kwa dhamana asaiv anatafta M7 na Amepeta TB juu kwa kisimu cha Laki na nusu...
Hapa anaweza ni maneno tuu ila akitaka vitendo vinapatikana live....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa angu anauza hyo grand prime kwa 120k...if you are intersted nikuunganishe nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni samsung gan hiiNikuuzie hii na chaji unapataView attachment 1326839View attachment 1326840
J1 2016Ni samsung gan hii
Kwa hela hiyo utapata Tecno na Itel tuHabari wakuu,
Nahitaji simu original kabisa haraka sana iwezekanavyo, budget iliyopo ni pesa ya Kitanzania shilingi laki moja (100,000)
Napatikana Dar es salaam
Aina ya simu inayohitajika ni miongoni mwa zifuatazo:
• Samsung Galaxy S4
•Samsung Grand Prime pro
•Tecno Camon CX Air
•Samsung Grand Prime (bei inaweza pungua)
Note: Bei inaweza kushuka na sio kupanda, wanaohitajika kuni PM ni wale tu wenye simu nilizoziorodhesha hapo juu.
Matapeli na wenye simu fake wasipite kabisa katika uzi huu.
Wewe ndio wasema, huna pesa kwanza
Si hiyo laki ya Tecno au sina hela ya nini?Wewe ndio wasema, huna pesa kwanza