Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
Nahitaji used, dukani bei hiyo hakuna
Mafundi wengi simu zao za kuungwaungwa sana
Wacha kujitoa ufahamu, hiyo simu imetajwa wapi kuwa naihitaji
Facebook page gani mkuuNenda FB unapata chap!!!! Vijaa wapo active sana na biashara kule kuliko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli JF imezubaa sana
Watu wanaoneshwa pesa lakini wamejificha
Simu bado sijapata
Kweli JF imezubaa sana
Watu wanaoneshwa pesa lakini wamejificha
Simu bado sijapata
Huna lolote, leo mume wa dakda yako yupo hajaenda kazini punguza kelele amepumzikaHizo simu utapata kwa wala unga. Sasa hapa kama kuna wala unga wewe endelea kusubiri
Huna lolote, leo mume wa dakda yako yupo hajaenda kazini punguza kelele amepumzikaHizo simu utapata kwa wala unga. Sasa hapa kama kuna wala unga wewe endelea kusubiri
Huna lolote, leo mume wa dakda yako yupo hajaenda kazini punguza kelele amepumzika
Bei ni 100000Kuna jamaa angu anauza hyo grand prime kwa 120k...if you are intersted nikuunganishe nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi Wewe Dogo hiyo simu inashida gani??Wacha kujitoa ufahamu, hiyo simu imetajwa wapi kuwa naihitaji