Maelezo y uongo n yapi, kwamba ww ndo unanijua kuliko navyojijua?Haujaandika kitu cha maana kabisa mazee nimeomba picha ya simu unayotumia maana umesema upo nayo goggle pixel 256 Gb kwa laki kadhaa kwa msisitizo umesema umetuma hela mara mbili ili kuipata baadae unakuja na maelezo ya uongo...
Tumalize mazee umesema unayo hiyo simu umenunua kwa huo utaratibu nimekuomba tuma picha unakuja na ngonjera kibao...Maelezo y uongo n yapi, kwamba ww ndo unanijua kuliko navyojijua?
Nakutumiaje picha wakat ndo simu natumia mzeeTumalize mazee umesema unayo hiyo simu umenunua kwa huo utaratibu nimekuomba tuma picha unakuja na ngonjera kibao...
Ilikuwa pixel ngapiNdio mkuu, 350k niliwatumia 200k then hiyo nyngn nikalipa nilivyopokea mzigo
Mkuu simu sio big ishu hoja yangu ni kuwa hiyo simu mudau anayotafuta hauwezi kupata kwa bei hiyo hata ukienda huko wanakotengeneza labda pixel za chini ya hiyo kwa nini unatumia nguvu kubwa kudanganya mazee..Nakutumiaje picha wakat ndo simu natumia mzee
Nguvu kubwa ipi hy kudanganya mzee, em soma comment yangu #19 ukiwa umeshirikisha akili, Acha mihemkoMkuu simu sio big ishu hoja yangu ni kuwa hiyo simu mudau anayotafuta hauwezi kupata kwa bei hiyo hata ukienda huko wanakotengeneza labda pixel za chini ya hiyo kwa nini unatumia nguvu kubwa kudanganya mazee..
Ni matapeli Sana waleHawa wa pemba ni kujiandaa kwa machozi tu
mkuu kuulz cy mjinga angekuwa mjinga si angetuma hera hapa kaja kutafuta msaada zaidi na cy kwamb ni mjinga tupo hapa kwa ajili ya kusaidianANchi haiishi wajinga hii. Na moja ya wajinga hao ni wewe. Ngoja utapeliwe ndio akili ikukae sawa.
Kizimbani mall 😀😀😀Wako chakechake Zanzibar?😄😄Andaa maumivu
Nchi ina watu wagumu Sana kuelewaNguvu kubwa ipi hy kudanganya mzee, em soma comment yangu #19 ukiwa umeshirikisha akili, Acha mihemko
Huyu jamaa ni zaidi ya kiazi, kichwa chake anakitumia kama mfuniko wa shingoNchi ina watu wagumu Sana kuelewa
Mmoja ameniambia yupo PembaNafikiri mnawasiliana, vipi ukipiga hatua hadi huko kwao uwape pesa wakupe simu urudi home kuliko kurisk kisichoeleweka ndugu. Coz kama sio matapeli watakwambia walipo uende huko lakini wakikwambia haina haja uende wao ni kutuma tu iyo hela tunza tu itakusaidia kwingne
achana nao tafuta simu kwingne ndugu nenda na pesa zako wakupe simu urudi zako home.Mmoja ameniambia yupo Pemba