Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 694
- 809
Tecno simu nzuri lkn nilishaitumia saana mkuu. Nataka ladha tofauti kidogo.TECNO hutaki tena mkuu, unapata kama nne maandroid yamo likioo likubwa n.k natumia TECNO H6 ya 2014 leo naenda mwaka wa pili sijaona tatizo wachina hoyeeeee!
sidhani kama utaipata kwa hio budget yako. itakuwa bei juu kidogo hasa kwa mpyaAsante chief.. Vipi kuhusu iphone 6plus inawezekana ikawa inaendana ubora na hiz devices za samsung ulizotaja hapo juu?
Na vipi kuhusu bei yake?
Chaa!Kwenda kule....Watanzania hoyeeee!TECNO hutaki tena mkuu, unapata kama nne maandroid yamo likioo likubwa n.k natumia TECNO H6 ya 2014 leo naenda mwaka wa pili sijaona tatizo wachina hoyeeeee!
Hiyo mobile plaza iko wapi mkuu kuna jamaa yangu kanunua simu hapo kwa huyo huyo punga phones htc bei poa.Nenda Mobile Plaza kuna duka linaitwa Punga phone kuna simu nzuri me nimetoka hapo juzi kuchukua Sony Xperia Z3+ ni laki 8 ina warranty ya miaka miwili
Vipi micqueen wanazo lumia 950..na bei gani?Nimekupm cjui umepata
Hata cjui but wanaweza kuwa nazoVipi micqueen wanazo lumia 950..na bei gani?
AhsanteHata cjui but wanaweza kuwa nazo
Mkuu ina kila kitu? I mean charger, earphones etc.Njoo nikupe iphone 6, 64gb imetumika mwez mmoja tu. Lakini utaongeza 100 iwe 900k
Nimeshaangalia angalia huko ila nilihitaji mawazo ya watanzania wenzangu..Ili upate Mwanga Mzuri Ingia Google tafuta Simu itakayokuvutia Kulingana Na Matakwa Yako chukua....